Mezani palikuwa hapatoshi siku hiyo wadau...lol!

Uncle steve naye alikuja toka bongo ilimradi tu kuungana katika eid pili nasi kwa pamoja.

Ndugu jamaa na marafiki waliungana nasi ktk kuifanay Eid ya furaha hapa wakiwa katika kupitia kwenye kujichulia misosomolo.
Kama unavyojua mara kwenye sherehe haukosekani mziki DJ boston alikuwepo kuwapa kitu roho inataka rusha roho ,miduara bongofleva,bolingo n.k.
Kwakweli watu walikula kunywa na kucheza kwa furaha tunashkuru wale wote walijomuika nasi ktk siku hii ya EID pili.
Mwenyewe mwenyewe akikagua na kuhakikisha section ya maakuli imetimia kabla ya wageni kuingia...!!
Ndugu jamaa na marafiki waliungana nasi ktk kuifanay Eid ya furaha hapa wakiwa katika kupitia kwenye kujichulia misosomolo.
kazi nzuri mkuu endeleza libeneke la kublog
ReplyDelete