...

...

Tuesday, September 22, 2009

EID PILI HAPA KANSAS CITY TULIOVYOJIACHIA..!!



Mezani palikuwa hapatoshi siku hiyo wadau...lol!











Mwenyewe mwenyewe akikagua na kuhakikisha section ya maakuli imetimia kabla ya wageni kuingia...!!
Uncle steve naye alikuja toka bongo ilimradi tu kuungana katika eid pili nasi kwa pamoja.



















Ndugu jamaa na marafiki waliungana nasi ktk kuifanay Eid ya furaha hapa wakiwa katika kupitia kwenye kujichulia misosomolo.
Kama unavyojua mara kwenye sherehe haukosekani mziki DJ boston alikuwepo kuwapa kitu roho inataka rusha roho ,miduara bongofleva,bolingo n.k. Kwakweli watu walikula kunywa na kucheza kwa furaha tunashkuru wale wote walijomuika nasi ktk siku hii ya EID pili.


1 comment: