Uncle tobi naye alikuwepo ilimradi tu ni raha mtindo mmoja
Chini hapo Prodyuza machachari Hapa kansas city BOOKER T wakibadilishana mawazo na msanii MO katika sherehe yetu ya Eid.hivi siku chache zijazo nitawalateeni historia ya Prodyuza huyu nini anachokifanya Watoto walifurahia pamoja
No comments:
Post a Comment