...

...

Saturday, October 23, 2010

IMPORTANT REMINDER - GREEN CARD LOTTERY 2012



Ile bahati nasibu ya Green Card (GREEN CARD LOTTERY - DV 2012) imebakiza siku 12 tu ili Deadline ifike ambayo ni Novemba 3, 2010. Na Website ya kuomba ni www.dvlottery.state.gov

Kwa kujua zaidi Green Card Lottery hii hasa masharti na vigezo vingine, unaweza kuangalia video clip hii http://www.youtube.com/watch?v=5NtBFBQSBsg

NB: Kwa masharti ya picha, naweza kukusaidia kufanya editing. Niandikie makulilo@makulilofoundation.org

Nawatakia mafanikio mema

No comments:

Post a Comment