...

...

Thursday, November 5, 2009

PUSH UP

Wadau hii imenigusa kweli nami nikaona sina budi tushee pamoja na wadau wangu.

Makubwa!! Ni utashanga ukiangalia kwenye windscreen ya daladala hii utakuta kuna stika ya usalama barabarani ikisema gari hili liko bomba. bongo tambarare bwana!!!



PICHA KWA HISANI JAMIIFORUM.

.....................................................................................................................

No comments:

Post a Comment