...

...

Wednesday, October 14, 2009

SHOW YA MAGIC OF TANZANIA LILIVYOFANA PALE TOLEDO-OHIO



Nilifika hapo ukumbuni mapema nikiwa tayari kunasa matukio hapo.




Nilipitia pitia baadhi ya meza kuona sanaa tofauti walizotengeneza wasanii hao kwa kweli zinavutia na wanafanaya kazi nzuri kwa kweli hawa wakina dada kutoka Tanzania.



Mie huyo katikati hapo nikiwa nimekula pozi na baadhi ya wabunifu hao



hao nikiwa nateta na mbunifu mwenyewe FATMA AMOUR ilinibidi nicheke kidogo maana alikuwa akitoa hoja kuhusu hio ze fulana haikukaa kitamaduni uanjuwa tena wanamitindo inabidi tu ukubalianae nao.





Wadau hatimaye ze fulana ilipigwa chini nami nikawa nimetoka kimitindo au masemaje hapo wadau. Khadija mwanamboka a.k.a kiongozi natumai amenisoma hapo kimtindo .



Wageni walianza kuingia kidogokidogo .





Mikonozi kama kawaida allaa!!



Bibiye MARIAM MUSSA toka pale Zanzibar nae aliwakilisha sanaa zake hapo Toledo-ohio



Alievaa nguo za kimasi yeye ni mbunifu toka arusha kama mnavyomuona nae aliwakilisha kama kawida hapo akiwapa maelzo wateja waliofika tamashani.





Naomba picha hiyo haiko clear kwani kamera ilipata kwikwi kidogo.





Mie huyo nilikuwa nikimsaidia Fatma kusimamia sanaa zake maana wageni walizidi kumiminika.





Mbunifu wa kutoka Bagamoyo nae alikuwepo kuonyesha sanaa kama zinavyoonekana pichani



Pichani ni mbunifu mwingine nae tokea kule Arusha nae alikuwepo kuonyesha kazi zake.



Kulia ni mbunifu tokea Tanga waja leo waondoka leo akiwa pamoja nambunifu mwenzie tokea Dodoma.



Mteja akipata maelezo mafupi toka kwa mbunifu wa Arusha.



Wawili wa mwanzo pichani ni watanzania wanaoishi hapo toledo wlikuepo nao kuja kuwapa tafu watanzania wenzao.



Wakati mambo yakiendelea na burudani nayo ilichukua nafasi yake ili kuwavuta watu zaidi.Live toka kwa mwandada huyo pichani alietokea pale Columbas -Ohio.







Wageni walifuatilia kwa makini kushudia kila kinachotokea.




vinywaji na msosi kama kawaida.




Pichani ni Muandalizi mkuu wa Onyesho hilo Bi. Elizabeth Balint





Hali ya Toledo ni kibaridi fulani hivi hapo niliuwa nje ya ukumbi huo katika maeneo ya Bowling Green hapo Toledo -Ohio



...........................................................................................................................

1 comment:

  1. thans for the images mmate.....lakini nunua camera iliyo bora. pics are of very poor resolution!

    ReplyDelete