Director muandamizi wa show hiyo Bw. Martin Naggy akiwatangazia rasmi kuanza kwa show ya mavazi ya Mbunifu fatma amour
Nae pia Msaidizi wa muadamizi bi Christina akitoa risala yake kabla ya kuanza show hiyo ya mavazitoka kwa mbunifu mahiri kabisa Bi FATMA AMOUR
Wageni wakimsikiliza kwa makini kabisa------------------------------------------------------
HAYO TU NI BAAADHI YA MAVAZI AMBAYO YALIONYESHWA NA MBUNIFU HUYO WA MAVAZI FATMA AMOUR AMA NWEZA KUMWITA FAMOUR DESIGNER.
Mbunifu Fatma katikati hapo akiwa na mamodo amabo walivaa nguo zake siku hiyo.
Dada huyu tokea hapohapo Bowling green aliperform wimbo wake maalumu kwa show hio ulioitwa magic of Tanzania
naaahidi nitakuleteeni video yake ili muone nini alichokiimiba katika wimbo huo.
naaahidi nitakuleteeni video yake ili muone nini alichokiimiba katika wimbo huo.
nimekula konoz na mamodo wa liovaa nguo za mbunifu Fatma amour
nikiwa nimekula pozi na Designer mwenyewe Fatma amour
Hiyo ilikuwa siku amabo nilikuwa narudi zangu kansas city nilipita hao darasani kwao lile group la madesigner nilienda kuaaga kabla ya kuanza safari za ya kurudi kansas.
hapo nikiwa na group la wachoraji nilipokwenda kuwaaga studioni kwao.
No comments:
Post a Comment