Najua wadau wengi watajiuliz sio kiwanja cha mpira hiko wala sio poli maana ukiona huo ujani ulivoiva hapo umekolea nazi kweli kweli....!!Hilo ni jengo mojawapo la kitengo cha sanaa katika chuo kimoja huko Singapore...amabalo wameotesha majani juu ya paa la hilo jengo !mlimani huko mpo!
Kwa karibu kabisa ili ujionee mwenyewe
hivi ndivyo inavyokuwa taswira jengo hilo ya idara ya sanaa chuoni hapo.
No comments:
Post a Comment