ebwana wadau hii haikupata kutokea jana hapa kwetu kansas city palikuwa hapatoshi. tulikuwa na baby shower ya DA JOYCE a.k.a MRS.CHRISS.Nilikuwepo kushuhudia kinacho na kuonyesha kwamba sio uzushi picha ziko njiani mdau..............wadhungu wanasema "camin suun"
No comments:
Post a Comment