C.E.O wa kansas kwa mbali pale namuona nae alijumuika kuyarudi magoma
Yaani ilikuwa jaasho mtindommoja maana kidekure we mamam kidekure....!!!!!Watu walikuwa hawatambuani
hapo ilikuwa ni mgongo mgongo tu kama huna shauri yako....watu watakucheka
mama lao...Da nainihiii akiwaonyesha vijana wa kansas sebene likoje
Yaani ilikuwa ule mtindo wa mbele arudi nyuma na wanyuma aende mbele basi hapo weeeee.....!!!
Kumbuka hayo yalikuwa yakisababishw na DJ wako toka kansas city almaaaruf "DJ BOSTON"
kwenye moja na mbili ebwana aliwarusha vijana mpaka chee..!!!1
Kila mtu alishindwa kujizuia maan Dj Boston hakufanay uchoyo alirusha ngoma za rika zote ukianzia hip hop,bongofleva halkadhalika old skul maana anko nanihii Prospa jana alikumbuka sana enzi enzi za ujana wake....kwa hakika ilifana sanaa!!!!!!
No comments:
Post a Comment