...

...

Wednesday, September 2, 2009

TASWIRA YETU

Hivi ndivyo inavyokuwa ktk baadhi ya sehemu ya mji wetu wa kansas wakati wa usiku hebu niambie mdau yaani hapo hata ukiangusha sindano usiku huo lazima uione.........sasa je no comment!!

1 comment:

  1. Mwana, natamani hapa pangekuwa ni Buguruni vile....

    ReplyDelete