...

...

Wednesday, September 2, 2009

HUYU NDIO MMAREKANI MWEUSI


Amani iwe nanyi. Asili ya Mmarekani mweusi ni Afrika ingawa walio wengi hawapendi ukweli huu.
Waliletwa Marekani enzi zilee za biashara ya utumwa hasa Triangular trade
iliyounganisha bara la Ulaya, Afrika na Amerika. Walio wengi, wamarekani weusi
ndio wanaoishi maisha ya hali ya chini kwa kiwango cha Marekani na ndio
wanaoongoza kwa sifa chafu. Ni kweli wanabaguliwa na wamarekani weupe,
ni kweli wanakandamizwa, na ni kweli hawapendwi. Lakini hata wao wanachangia
kubaguliwa na kutengwa na weupe. Nitakuambia kwa nini...


Hawa watu hawapendi kusoma, wanakila wanachohitaji ili kwenda shule, wana
uhai, wana afya,wana pesa, wana akili, wana vitendea kazi na shule zao ni bora
kulinganisha na nchi zinazoendelea, elimu yao wanasomeshwa na serikali.
Ukiwapeleka shule wanakwenda ili wapate nafasi ya kuchaguliwa timu za taifa
za michezo. Mpira wa kikapu/basket ball, American football/inafanana na rugby,
kuogelea na michezo mingine. Angalia watu walio na majina kwa basket ball ni
Magic Johnson, Michael Jordan, Shaq O'Neil, Kobe Brayant na wote hao ni weusi.
Wakikosa nafasi ya kuingia kwenye michezo ndipo wanapoanza kuimba.
Angalia wanamuziki maarufu, watacheza filamu, watauza na kutumia
madawa ya kulevya, watakuwa majambazi na kuishia kwenye uhalifu.
Hawana kiu ya kujua mambo ya ulimwenguni yanakwendaje, wamebweteka
na kuridhika kwamba wao ni WAMAREKANI.!!! Walio wengi ukiwauliza elimu
ya nje ya Marekani hawaijui, waulize kuna mabara mangapi duniani, waulize
kuhusu marais wa nchi za nje, waulize michezo, sanaa, uchumi wa nje hawajui.
Wanachojua na kuabudu ni Marekani taifa kubwa. Hata Tv zao zinaonyesha
mambo ya ndani tu. Utashangaa nikikuambia hata miji yao hawaijui, wanakaa
zaidi ya miaka bila kukanyaga mjini.! wao ni ndani-kazini-ndani-shopping-
ndani Utalikuta jibaba la miaka 40 limezaliwa humu na limekwenda
Down Town mara mbili tu. Sijawahi kuona watu walioridhika kama hawa.


Vijana wana maajabu yao sana, wanaume wanatembea kifua wazi.. wanapenda T-shirts zaidi ya shati za kawaida na siku zote hawazivai. Ama watazishikilia mkononi au kutundikwa begani. Chupi inavaliwa kiunoni kama kawaida, bukta inavaliwa katikati ya matako na pensi kuuuubwaaa linashushwa chini ya matako, wanatengeneza kitu kama ngazi hivi halafu wakitembea wanatanua miguu kama mtu aliyejinyea au mwenye busha. mwili mzima wanajichora na kujiandika. Wanajiandika majina ya vitu wanavyovipenda, na kujichora alama za kibabe. Sigara, bangi, madawa ya kulevya yanaanza kutumika shule za awali. Naweza kusema wanaanzishiwa wakiwa watoto wadogo kwani familia nzima unakuta wanatumia. Mavazi ya wasichani siwezi kusema kwa heshima ya mwezi mtukufu wa Ramadhani, unaweza kuibatilisha swaumu yako bure ukanipa kesi...
Ngono kwao ni sawa na Mtanzania kula chipsi mayai. Hawana haya wala soni, kila kitu hadharani na wakati wowote, mahali popote na hakuna anayejali. Kila mtu yuko bize na mambo yake. Hawachagui nani wa kufanya nae ngono yao, dada, mama mzazi, mama mkwe, shangazi, binamu, mke wa rafiki. Kila mwanamke kwao ni halali ilimradi anakidhi haja ni sawa na kuku. Mimi naona afadhali kuku maana hakuna kuku jogoo anayempanda jogoo mwenzake. Hawa kwao mwanaume kwa mwanaume ni ruksa.


Wamarekani weusi hawajui kingereza, wanaongea zaidi kingereza cha mtaani 'slang' na kuringa nacho. Sasa unapofika hatua ya chuo kikuu na taaluma za kazi ni lazima uongee kingereza halisi kile cha Uingereza. Wakiambiwa wanadai wanabaguliwa. Uwaambie kutukana, muziki, basket ball, American football, ngono na ufinyu wa elimu ya nje ya marekani, wao ni namba moja.Wamarekani weupe wanakula shule na wana malengo mazuri ya maisha yao, mtoto anaandaliwa mazingira ya kuishi kabla hajazaliwa...




h.mtu (houston).

No comments:

Post a Comment