TAMBARARE KOTEKOTE!!
Barabara zetu nazo huku kansas city wakati fulani zinakuwa tambarare hasa wakati wa asubuhi watu wanapokwenda makazini na jioni wanaporudi .
kama nilivyosema sio wakati wote sometime ni raha kama hapa unavyoona ni DOWNTOWN yetu kansas city Missouri mia na ishirini kwenye kona shaaaaa......
No comments:
Post a Comment