...

...

Saturday, September 12, 2009

SWALI KWA WADAU...!!!


Wadau leo naomba nije na mada moja muhimu ambao hii ilikuwa inaniumiza kichwa kweli pamoja na kukaa kwangu muda wote huku ughaibuni naomba tusaidiane.

Hivi kuna mdau yeyote anaefahamu chakula cha kitaifa cha wamarekani?
maana mi nehi nehi kabisa wajameni!

Najuwa hata kwetu tuna chakula amabacho kinatutambulisha kwamba hiki ni chakula cha watu kutoka nchi fulani.

Haya tunakaribisha maoni hapo !

No comments:

Post a Comment