Familia ya Marehemu Samwel Lewis mbezi wa Ukonga Dar es salaam inapenda kutoa shukrani zake za dhati kwa wale wote walio support katika kipindi kigumu cha msiba wa baba yao mpendwa Samweli mbezi.Kama familia haina cha kuwalipa.Kikubwa zaidi Inawaombea kwa mwenyezi mungu awape Afya nyema na maisha mazuri na pale walipo toa au kupunguza wazidi kuongezewa.Mungu awe nanyi.
Ahsanteni!
Patrick Mbezi & Family.
wichita
No comments:
Post a Comment