...

...

Tuesday, September 8, 2009

Sir.ERNEST MTAYA!

Mtaya si jina geni machoni baadhi yenu wadau. kwangu mimi naweza sema huyu jamaa ni mtu ambye naweza sema amenifanya mafanikio ya ndoto zangu za art kuwa za kweli.
Ni mwalimu wangu ambae nilkuwa mwanafunzi wake wa art kwa zaidi ya miaka 10.ukitaka kujua zaidi bonyeza hapa.

No comments:

Post a Comment