
Kariakoo ya leo si kama ile ya zamani msongamano wa magari kidogo umepungua

Ingawa kuna kipindi usafiri wa jumuia inabidi uvute subira.....mpaka kuja kupata daladala

Baaada ya vibasi vidogo vidgo maarufu kama Vipanya kupigwa marufuku kuja mjini hivi ndivyo hali ilivyo sasa maeneo ya kariakoo mtaa wa uhuru .
No comments:
Post a Comment