
Kwa leo jua letu limezama saa moja na dk 43 jioni amabao kwa waislamu ndio magharib na ndio huo ulikuwa muda muwafaka wa kufuturu kwa huku kwetu kansas
na wala sikusita nikawaletea na taswira yetu inavyoonekana jioni ya leo wakati jua likiaga kwa siku ya leo.
No comments:
Post a Comment