...

...

Monday, September 28, 2009

HAPPY BETHDAY ILYA!



Mtoto Ilya toka kansas city jana alitimiza miaka 4 ya kuzaliwa.
Baba ya ILYA anko nanihii akimpa tafu mtoto jinsi tya kukata keki

Bila ya uchoyo alijumuika na wenzake katika kufanikisha siku yake hiyo......
----------------------------------------------------------------------------------------------
Misolosho inakutakia maisha marefu zaidi zaidi mtoto ILYA!

1 comment: