...

...

Wednesday, August 10, 2011

New blog to you‏

 
 
More Entertainment Inayojishughulisha Na Maswala Ya Kupromoti, Kusimamia Na Kurekodi ( Tuff Rec ) kazi Za Wasanii Wachanga Mkoani Morogoro Inapenda Kuwajulisha Wadau Wote Wa Sanaa Nchini Kuwa Imefungua Blog Inayokwenda Kwa Link Ya
( http://bongoflavalink.blogspot.com ) Ili Kurahisisha Kazi Ya Kupromoto Kazi Za Wasanii.

Tunaomba Sapoti kutoka Kwenu Kwa Kutembelea Hii Blog Kwa Maendeleo Ya Sanaa Yetu...
Thanks..

Contact:
Salim Chuma aka MORE
Morogoro
Tanzania
Tel: +255712 222244
bongoflavamusic@gmail.com
salimmore@yahoo.com
 
 http://bongoflavalink.blogspot.com

No comments:

Post a Comment