...

...

Tuesday, February 1, 2011

THERE IS SNOW AGAIN IN KANSAS

Hivi ndivyo hali ilivyo sasa hapa kansas city snow imecharuka kweli kweli na upepo mkali

 Hamna mtu anaetoka na wala anaeingia si mchezo hii ni kali sijawahi kuona




Kwa mbali kama umebahatika kuona kuna shujaa anaejaribu kusafisha ilimradi apate njia yakutokea


habari zaidi zitawajia soon!!.......

No comments:

Post a Comment