...

...

Saturday, February 12, 2011

KISOMO CHA MZEE

SALAAM ALAYKUM!!

TUTAFANYA KISOMO CHA KUMUOMBEA MZEE WETU MPENDWA UPANDE WA U.S.A SIKU YA J-PILI YA TAREHE 13/02/2011 KWA WALE WALIOKO U.S.A, KANSAS CITY WANAWEZA KUJA KWA ANUANI HII: 7425 FLINT ST,APT.102,SHAWNEE,KS66203 KISOMO KITAFANYIKA SAA KUMI JIONI.....NDUGU JAMAA MARAFIKI WAPENDWA WOTE MNAKARIBISHWA KUJA KUMUOMBEA MZEE WETU MPENDWA!...HAKUNA CHA ZAIDI YA KUMUOMBEA NA KWA UDHURU UNAWEZA KUPIGA PHONE: +19137101780
..................
WAHADHA SALAAM!!

No comments:

Post a Comment