Siku ya jana ilikuwa history moja muhimu kwa mtoto Ashley kwani takribani ni mwaka mmoja sasa na toka kuzaliwa kwake .....kwa kweli ni raha ya aina yake kwa kweli.....hivyo basi kama unavyojua katika kutimiza furaha hiyo ilifanyika hafla fupi ya kumpongeza mtoto Ashley na kumtakia maisha marefu na afya njema!!
mama akimsaidia mwana kukata keki maaan uncle ashley kama unavyomuona hapo pichani anavyoitamani keki yake lol!
Wageni mbalimbali ndugu,jamaa na marafiki walifika kuuungana na famila ya Pendenjee.. mwenyewe mzee alex
Pendenjee akiwa picha ya pamoja kwa furaha na mamaa na mtotot wao mpendwa
watu maarufu kibao walikuwepo pia kumpa tafu mzee Alex na Familia yake
Maakuli vinywaji vilikuwa vya kusaza
Pozi la mama na mwana
Hata kinama wa karibu kwa mama Mzaa chema pia walikuwepo kumpa tafu dadaa leya
Dj naniihii...nae alikuwepo kuwapa burudani
uncle uncle kama huwa akosi
Hiyo ndio keki ya mtoto ashley kutimiza mwaka mmoja
Mr.& Mrs Alex kwa ujumla inawashkuru wale waliofika kujumuika pamoja katika siku muhimu kwa mtoto wao mpendwa ......na Obama'z mtoto inamtakia mtoto Ashley maisha marefu zaidi na afya njema!!
***************
No comments:
Post a Comment