Nadhani umepata kusikia juu ya bendi hii amabo inaokuja kwa kasi
na inaopiga muzikia unaoeleweka si wengine ni ZIA MUSICA "Watoto wa Ulaya"
kuna singo yao ya pili wameiachia hivi karibuni amabayo inaitwa MTALAKA ANITAKA TENA"
Lakini leo nimekuletea video yao wimbo wao wa kwanza kabisa 'BINADAU CHUNGA UNACHOSEMA".
unaweza kuangalia kwa kubonyeza video yako hapo chini.
...........................................................................................
No comments:
Post a Comment