...

...

Monday, November 16, 2009

HAPA NI JIKONI KWA BRAZAMENI DULLY SYKES, KARIBUNI SANA!

Wikiendi hii, mapaparazi wa mtandao wa Global Publisher walitua pande za Tabata Kimanga jijini Dar es Salaam nyumbani kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Dully Sykes a.k.a Mr.Misifa. Bahati mbaya hawakuweza kumkuta lakini waliishia nje ambako walivutiwa na hali ya jiko lake pamoja na dishi la Runinga yake. Hebu cheki ilivyokuwa...



Huu ndio muonekano wa picha ya jiko la staa wetu Dully Sykes’ Handsome Boy’ ambaye picha yake inaonekana hapo juu



Hapa ni mahali anapotumia kupikia chakula chake.



Baada ya kula huhifadhi vyombo vyake juu ya kochi hili la ‘mbavu za mbwa’ bila kuviosha ambapo nzi hufanya tafrija kwenye makombo. Hapa ni baada ya kupata kifungua kinywa.





Hili ndio kabati lake la kuhifadhia vifaa vyote vya jikoni.


Ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni.Hili ndiyo Dish ambalo 50 Cent wa Bongo, Dully Sykes hulitumia kwenye Runinga yake, ambalo ameligeuza kamba ya kuanikia nguo.



Pembeni ya nyumba ameegesha ‘ mkoko’ (gari) wake wa maana ambao hata hivyo ulikuwa na pancha katika tairi lake la mbele upande wa kulia.

habari kwa hisani ya Global Publishers
......................................................................... ..........................................

No comments:

Post a Comment