...

...

Wednesday, October 28, 2009

WALAHI NIMECHOKA KABISA...!!



Waswahili wanasema tembea uone.wana maana nayo maana bila ya kutembea huktani na vitu kama hivi hii ilikuwa kwenye mitaa flani huko.nikawa nasubiri niruhusiwe ili nivuke kwa miguu hilo eneo ndipo nilipotazama kwa karibu hhii alama ilinishangaa kidogo aaha hii imetulia kwelikweli......!!!1

No comments:

Post a Comment