Wadau katika pitapita zangu nilikutana na hii picha kwa hakika nilistaajabu kidogo. Kwani kuna ujuzi mkubwa umetumika hapo. Napenda wadau wangu nanyi mchemsho bongo kiodgo
Hebu iitizame kwa makini hiyo picha,kisha niambie unagundua katika picha hii.....
................................................................................
Sehemu ya kifuani kwa wote watatu
ReplyDelete