ili nijionee mwenyewe itakavyokuwa na kaa nilivyowahidi wadau kuwaleteeni matukio kemkem ya show hiyo.
Wabunifu wa mavazi na sanaa za kuchora kutoka Tanzania waliokuja pale TOLEDO OHIO wakiwa kwenye Mkutano wa maandalizi ya ile SHOW kubwa inayojulikan kama MAGIC OF TANZANIA SHOW ambao italindima katika baadhi ya vitongoji vya ohio ikianzia TOLEDO,COLUMBUS,CLEVERLAND na kumalizia pale SYLVANIA.
Mbunifu wa mavazi anaekuja kwa kasi ya ajabu FATMA AMOUR toka Tanzania akiwa nae kwenye matayarisho kwa FASHION SHOW ambao itahusisha mavazi yake 50 siku hiyo ya show akiwa na mmojwapo wa wenyeji wao wa hapo TOLEDO.Bi JOAN ilimradi mambo yaende sawa.
Na mie nami wa mabli kule nilitinga ndani ya studio hapo kujionea maaandalizi yanavyoendelea
Wengine nao wakishugulika na kufrem paints zao ilimradi ni busy mtindo mmoja
wakiwa chini usimamizi wa mtayarisho ya kudesign na Bi JOAN EDWARD amabe yeye ni msaidizi mmojwapo wa show hiyo kubwa inayotaraji kulindima katika baaadhi ya vitongoji vya OHIO.
No comments:
Post a Comment