...

...

Saturday, July 3, 2010

Fund Raising kwa ajili ya Zia‏

Ndugu Watanzania,


Fund raising ya kumchangia Zia Kajanja itafanyika keshoJumamosi na Jumapili tarehe 3 na 4 July, 2010 nyumbani kwa Alex Limihagati kuanzia saa kumi na mbili jioni, Address ya Alex ni 9506 W. 80th Place, Apt 2305, Overland Park, KS 66204.Tafadhali njoo na kinywaji chako.

Zia Kajanja alikamatwa akiwa anaenda kazini. Kwa sasa hivi yuko Cardwell County Jail iliyoko Kingston, Missouri. Uhamiaji wameweka kiwango cha dhamana ya kumtoa jela ambayo ni USD 5000

Tunaomba michango yenu kwa ajili ya kumuwekea dhamana atoke jela. Unaweza kuwapigia simu mmoja wapo wa majina yaliyopo hapa chini kwa ajili ya kuwakilisha mchango wako. Lengo  ni kujaribu kumsaidia atoke jela kama ikiwezekana Jumatatu hii inayokuja ya tarehe 5 July 2010. kama utashindwa kufika na kuwakilisha mchango wako tupigie simu tutakuja kuchukua.

Tafadhali wakilisha ujumbe huu kwa watanzania unaowafahamu.

Wasiliana na hawa hapa kwa ajili ya kutoa mchango wako:

John Adhero 316 644 0828 begin_of_the_skype_highlighting              316 644 0828      end_of_the_skype_highlighting
Mike Nkong'wanzoka 651 354 9517 begin_of_the_skype_highlighting              651 354 9517      end_of_the_skype_highlighting
Sam Winani 913 486 2072 begin_of_the_skype_highlighting              913 486 2072      end_of_the_skype_highlighting
Dan Muro 816 291 0858 begin_of_the_skype_highlighting              816 291 0858      end_of_the_skype_highlighting
Alex Limihagati 913 400 3897 begin_of_the_skype_highlighting              913 400 3897      end_of_the_skype_highlighting
Jeffrey Mwita 316 300 7398 begin_of_the_skype_highlighting              316 300 7398      end_of_the_skype_highlighting 
Anold Kalito 316 990 6162 begin_of_the_skype_highlighting              316 990 6162      end_of_the_skype_highlighting
Prosper Kulaya 913 713 3430 begin_of_the_skype_highlighting              913 713 3430      end_of_the_skype_highlighting
Aly Mponezya 913 385 9773 begin_of_the_skype_highlighting              913 385 9773      end_of_the_skype_highlighting
Julius Mwakileje 913 271 3767 begin_of_the_skype_highlighting              913 271 3767     



--
Kind Regards

Sam GM
Overland Park
Kansas
USA 

No comments:

Post a Comment