...

...

Thursday, May 13, 2010

MAKAMUZI YA DJ NANIHII................!!!!

Ilikuwa jumamosi may 8 watanzania kutoka hapa kansas city walijumuika katika kumpa hongera zake dada yetu naihii jina kapuni) baaada ya kufanikiwa kumaliza masomo yake wadhungu wanasema kugraduate pichani mamaaa wa shuguli akilisakataka pembe na kibinda nkoye

Wageni mbalimbali nao hawakuwa nyumba kwani burudani ilioteremshwa hapo hata kiti kilikuwa hakikaliki

kama kawaida burudani hizo zilishushwa na Dj. Boston kijana ambae awashika kikweli kweli

No comments:

Post a Comment