
Haya ndio mandalizi ya sikuku ya x-mass amabao itakuwa kilelel chake 25 DEC. yaani wiki mbili hizi zote katika pita pita zangu nimeona kama watu wako katika ushindani juu ya swala hili la upamabaji nyumba zao katika kipindi .

Kila mtu aanafanya anavyoweza yeye ilimradi ni blig blig tu kila kona ya mitaa yetu huku kansas city.

hapa ni kasehemu kamjini hapa kansas panaitwa plaza

upande mwingine wa sehemu ya plaza

fabya bongo hivyo uone hiyo bili ya umeme itakuja kama ulikuwa unatumia umeme wa kiwanda

kila design za upambaji zinapatikana aisee inapendeza hiii kweli eeeeehhh.
...............................................................................................................
No comments:
Post a Comment