...

...

Sunday, December 27, 2009

HALI ILIVYOKUWA KANSAS CITY SIKU YA X-MASS!

Hivi ndivyo ilivyokuwa huku kwetu kansas city katika sikukuu ya xmass mie huyo nikijaribu kukwangua barafu iliyofunika mkebe wangu maana siku nilikuwa nimealikwa sehemu kupiga mpunga nikasema siku hiyo hakosi mtu hata kama snow ingeanguka mpaka inchi 100 lakini mpunga tungeenda ungelika tu hivyo hivyo.




Wengine siku hata hawakuthubutu kutoka siku hiyo ilikuwa ni noma...
!!!







Wenyewe wamarekani wanakwambia hiyo ndio chrstmass sasa bila snow hakuna xmass...
kwa kidhugu wenywe wanasema white snow x-mass

......................................................................................................................

No comments:

Post a Comment