...

...

Friday, November 13, 2009

Nakupa big up Mr. Haji Mahmoud a.k.a motto wa Obama, Kwa kutupa mambo moto current news za kule ughaibuni.

Endelea kutuhabarisha kinaga ubaga Kama kawa.


Mdau

Alfred
.................................................
Alfred Vicent Boota

Planning & Maintenance Officer

Tanzania Breweries Ltd



........................................................ .......................................................................
Mkubwa Alfred nashukuru saaana kwa ushirikianao nami nawahwaahidi sitawaangusha nitajitahidi kuwaletea yale yanayojiri huku tuliko.
ahsante.

obamamtoto




..................................................................................

No comments:

Post a Comment