
Unajua hizi lugha zingine inabidi tuangalie kwa undani zaidi maana maneno mengine huwa yanaleta maana nyingine kwenye lugha. mfano hii nimeinyaka toka kule japan ni jina la kampuni moja kule Otawa -Japan amaboa inuza magari inaitwa KAMKAZE!
sasa hata sijui inamaana gani kwa kijapani hebu naomba kama kuna mdau yeyote atupe darasa kidogo!
...............................................................................................
No comments:
Post a Comment