...

...

Friday, November 13, 2009

HAYA SASAAA.....!!!!

Haya wale wanaojifanya kwenda gym halafu siku mbili hujifanya kutunisha vifua ili kutonyesha kwamba kuashiria mazoezi yamewakolea.kuna hii hapa nimeona nishee nao . wanaume wa kazi hapa amabao wao toka wamezaliwa ni gym hawajui kitu kingine chochote.
21 jump gym nadhani watakuwa wamenisoma !
.............................................................................................

No comments:

Post a Comment