...

...

Saturday, October 3, 2009

HEPI BETHDEY PACHA WANGU!



Siku kama ya leo miaka kadhaa iliopita alizaliwa pacha wangu mmoja Didah  wa pale Dar es salaam kwa hakika sina la kuongeza ila mi namtakia maisha marefu na mungu amuongoze kwenye masomo insha llah kwa baraka zake mola!

No comments:

Post a Comment