Marehemu michael jackson atakukumbukwa kwa mengi kutokana na moyo wa huruma aliokuwa nao. alijitahidi kwa kila hali kusaidia watoto ambao ndio taifa letu lijalo hiyo ni mojawapo ya heshima kubwa alioipata ukiachana na umahiri wake katika muziki.
Tukizungumzia mziki ndipo hapo nakuwa hata sijui nimuelezee vipi huyu mtu ila sina mengi ya kuongea .
Hebu cheki hii video hapa chini kisha utahakikisha kwamba huyu pamoja na moyo wa kutoa alikuwa na kipaji cha muziki hebu angalia video hiyo hapo chini
No comments:
Post a Comment