...

...

Wednesday, September 23, 2009

ZE COMEDY VIPI!? MMEFULIA NINI?


"Ze Comedy" Kwa wale wasiowafahamu hili kundi mahiri na maarafu sana nchini Tanzania katika ile sanaa ya uchekeshaji.
Hawa jamaa walitokea kuvuma sana kipindi fulani ,lakini ni muda mrefu umeipata hata siifahamu wanafanya nini sasa maana baada tu ya kuhamia TBC naonaa jiii.
Nafkiri sina mengi ya kueleza ila washabiki wa kundi hili na wadau kwa ujumla watakubaliana nami hawa jamaa ni kiboko tena si mchezo sidhani kama wana wapinzani.

hebu tujikumbushe na mojawapo ya video wakati uleee wa po katika kituo EATV.



No comments:

Post a Comment