Hawa wadau huo mfano tu wa Taswira mojawapo sasa unapewa changamoto kwa mdau ataetuma taswira nzuri kuliko wote basi atajishindia zawadi ya .......SIMU MPYA YA NOKIA 1661

Hivyo basi usiachwe nyuma mdau kumbuka kutuma jina lako kamili,email yako,namba ya simu pia. Picha zisiwe zile ambazo za kudownload kwenye web inatakiwa uliochukua mwenyewe kwa hakika tutapitia picha zote zitakazotumwa na wadau picha watapigia kura kwa kutoa maoni yao pia kwa umakini kabla ya kuamua mshindi .
*Kumbuka mwisho wa kutuma picha yako ni tar.10 october 2009 picha zote zitumwe kupitia email yetu : hajiboston@hotmail.com
ZAWADI HII IMETOLEWA KWA UDHAMINI MKUBWA WA:
No comments:
Post a Comment