...

...

Tuesday, September 1, 2009

MGENI NJOO MWENYEJI APONE

Katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa ramadhani hii kitu hapo inakuwa malighafi muhimu katika mambo ya futari sidhani kama utaweza kupika vyakula vyote ukawacha mandondo kama watoto walivyozoea kuyaita.

Na ndio hapo wafanyabiashara ndogondogo napo wanapochangamkia tenda katika kipindi hiki maana ukilemaaa tena ndugu yangu utalala mlango wazi.
haya tena kwa wale wakazi wa znz watakuwa wamenisoma bara-bara hizo ndizi maarufu sana pale kisiwani zinazojulikana kama " mkonga wa tembo" wala usione nachonga sana hata kwani waswahili wanasema ukitaka kujua utamu wa ngoma uingie ucheze na ukitaka kujua nini nichosema kuhusu hizi ndizi zitafute halafu utapata jibu.
Picha kwa hisani MUSAB (UK).

No comments:

Post a Comment