...

...

Tuesday, September 1, 2009

KANSAS CITY JIONI

Hapa mdau katika jiji letu la kansas ni saa mbili usiku na ndio muda ilipigwa picha hii muda ambao wakina sie wakati ule muwafaka kabisa wa kupata futari
kuna wale watu wakule california sina uhakika sana wao jua lao ni saa ngapi ila nilipata tetesi kuwa wao ndio inachelewa zaidi hebu kama kuna mdau yeyote aliepo pale atuharibishe kidogo ili tujue.
ahsante wadau!

No comments:

Post a Comment