Jamiiforums.com The home of great Thinkers inatimiza miaka 3 tokea kuanzishwa hivyo basi kwa niaba ya wadau wote wa MISOLOSHO inatoa poengezi za dhati na pia itatoa ushirikiano mara unapohitaji tupo ktk kuendeleza libeneke hili siku hadi siku.......Nawatakieni pia waislamu wote funga njema na insha allah mungu apokee funga zetu na atusamehe makosa yetu.....ila mkumbuke na sala pia kwani nguzo pekee ktk uislamu
wahadha salaam alykum!
No comments:
Post a Comment