...

...

Saturday, September 19, 2009

EID MUBARAK


Waislamu duniani kote leo wanaaadhimisha sikukuu ya EID ElFTRI mara baada ya kukamilisha mojawapo ya nguzo ya nguzo za kiislamu yaani Ramadhani.

Blogu yenu inaungana pamoja na waislamu pamoja na wadau katika sikukuu hii insha allah mungu apokee swaumu na duwa kwa ujumla na tuendeleze yale yote mazuri tulioyafanya katika mezi huo mtukufu uliofika........................


EID MUBARAK!

2 comments:

  1. Na kwako pia. Karibu ULINGONI tujumuike kuielimisha, kuiburudisha na kuitambulisha jamii katika yale yatakayoifaa.
    Blessings Mankind

    ReplyDelete