...

...

Friday, August 21, 2009

RAMADHANI KAREEM!!


Waislamu kote dunia wameuanza mfungo wa mwezi mtukufu RAMADHANI moja wapo ya nguzo za dini ya Kiislam ambao utadumu kwa muda mwezi mmoja......
Blog yenu ya misolosho inawatakia waislamu wote funga njema na insha allah mungu azipokee funga zetu na atusamehe dhambi zetu........

1 comment:

  1. nami nawatakia wailsam wote duniani funga njema

    ReplyDelete