...

...

Sunday, August 23, 2009

Je Unawajuwa Simba wa Afrika?

Watanzania wanaosumbuka ktk anga za sarakasi(Acrobatic) pale Uingereza. Hawakuishia hapo tu. Kwani ni mojawapo la kundi lililofanikiwa kuingia semi-final za ile kitu inayojulikana kama BRITAIN GOT TALENT!
Wanakwenda kwa jina la the Afrikan Warriors. ukitaka kujua zaidi nini wanachofanya kwa kubonyeza hapa www.afrikanwarriors.com

No comments:

Post a Comment